Viongozi wa kidini katika eneo bunge la Sirisia Kaunti ya Bungoma wamebuni muungano wa wahubiri utakaowaleta pamoja kwa lengo la kuombeana na kufanikisha miradi ya maendeleo katika makanisa yao.

Kwenye taarifa kwa wanahabari, Mwenyekiti wa muungano huo wa Lwandanyi/Sirisia Pastor’s Union Joseph Wangila amesema umoja wao ni mwanzo wa kuinua jamii.

Hata yanajiri huku wahubiri katika eneo la Webuye Kaunti ya Bungoma wakitoa wito kwa bunge la Kaunti ya Bungoma pamoja na Gavana wa Kaunti hiyo Wycliffe Wangamati pamoja na waakilishi wadi kwenye Kaunti hiyo kuungana ili kuzima tofauti zilizopo kwa sasa.

By Hillary Karungani

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE