Familia moja eneo la Ilesi kaunti ndogoya shinyalu kaunti ya Kakamega inaitaka idara ya upelelezi kuwasaidia kumkamata mtu ambaye amemtorosha msichana wao mwanafunzi wa kidato cha kwanza

Babake Kizito Khasiala amesema msichana wao ametoweka kwa njia isyoeleweka na yule ambaye anashukiwa kuwa naye anawafanyia mzaha kwa simu

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE