Mwanafunzi wa kidato Cha tatu shule ya upili ya Nyang’ori Kaunti ya Vihiga ambaye amemwua mlinzi wa shule hiyo leo kwa Jina Willy Mkonambi atafunguliwa mashtaka ya mauaji.

Haya nikulingana na idara ya upelelezi ambayo imebaini kwamba, mwanafunzi huyo alikuwa na nia ya kumvamia mwenzake na kifaa butu kabla ya mlinzi huyo kujarbu kumzuia jambo ambalo lilipelekea kudungwa na kuaga duniani alipokuwa akipokea matibabu hospitalini.

Haya yanajiri huku visa vingi vya wanafunzi kupatikana na silaha kama vile visu shuleni vikikidhiri hali ambayo inazua tumbo joto miongoni mwa walimu, wazazi na wanafunzi. 

Story by Alovi Joseph

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE