Serikali imeombwa kuingililia kati ili kusaidia chama cha Butali Division Motorbike kilichoko eneo la Butali kata ya Matioli kaunti ndogo ya Malava kaunti ya Kakamega katikika kufanikisha miradi yao.
Jenifer onoka ambaye ni karani wa chama cha butali division motor bike selfcare group ameitaka serikali ya kaunti ya kakamega kuungililia kati ili kuwawezesha kufanikisha miradi ambayo wanaazimia kutimiza katika chama chao
Naye ruth saidi ambaye ni mweka hazina amezungumzia baadhi ya changamoto zinazowakabili kama wanachama wa butali division motorbike self care group
Benson ngaira mwenye kiti wa chama hiki kwa upande wake amewashauri wanabobaboda wenzake kujiunga na vyama ili wakaweze kusaidika wakati wanapopatwa na magumu kwani umoja ni nguvu
By Mary Owano