Mwakilishi wadi ya Mumias Mashariki eneo bunge la Mumias Mashariki Shaban Otengo ameitaka serikali kushirikiana na viongozi kuwakwamua wananchi mashinani mzigo wa hali ngumu ya uchumi

 Akiongea alipowakabidhi msaada wa chakula na fedha za karo akina mama wajane na wananchi wenye changamoto ya kifedha kutoka wadi yake otengo amesema inasikikitisha vile wakenya wengi wamelemewa na mzigo wa uchumi na imekuwa vigumu hata kuwapeleka watoto shuleni

Amewataka walimu wakuu kuelewana na wazazi mbinu ya ulipaji karo na wawache wanafunzi watulie darasani
baadhi ya wale walionufaika walielezea kuridhika kwao

Story by Boaz Shitemi

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE