Wakazi wa Khwisero wanaitaka serikali kuwaweka wakongwe wote wa miaka sabini ambao hawana mapato kwa mradi wa pesa ya wazee badala ya kuwabagua wengine ambao wana mahitaji

wakiongozwa na mwalimu Fred Akhonya Karanja kwenye mazishi ya mama Mary Kasri ambaye ni mamake mwanahabari Peter Kasri eneo la Emalindi, wameitaka serikali kuwatumia waze pesa yao kwa rununu kuwaepusha changamoto ya kusafiri muda mrefu na kupiga foleni ikizingatiwa hali yao dhaifu

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE