Vyongozi wa Kaya na jamii mbalimbali kutoka Kanda ya Magharibi sasa wanataka shuguli ya mabadiliko ya katiba kusitishwa na badala yake serikali ishugulikie uchumi unaozidi kudorora

Wakiongozwa na Mfalme wa jamii ya ABAWANGA Wadi ya East Wanga gatuzi dogo la Mumias Mashariki NABONGO NETIA vyongozi hao wanasisitiza kuwa BBi sio muhimu kwa Sasa

Kwa sai BBI ikae kando kidogo na tuanze kuangazia swala la uchumi. uchumi wa nnchi umezoroteka bei ya bithaa muhimu imepanda wananchi wa chini wanaumia

Kiongozi huyo amesikitikia madeni inayodaiwa nchi hii akiitaka serikali kuwa makini na Hali hio

Madeni imekumba hii inchi yetu. vutu vimepandishwa bei na anaye umia ni mwananchi wa kawaida serikali kuu tafadhali mfanye jambo hapo

Kuhusu siasa za Magharibi mfalme huyo mdogo amemtahadharisha Mudavadi dhidi ya kumuunga mkono Gideon Moi mwaka wa 2022 akisema kuwa hili litafanya jamii ya Waluhya kukosa kuafikia ndoto yao ya kuongoza taifa hili.

By James Nadwa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE