mMakataa ya siku saba yametolewa kwa kampuni ya kusambaza nguvu za umeme nchini KPLC eneo la Mlima Elgon kurekebisha mtambo wa Transfoma ulioharibika zaidi ya miezi miwilli iliyopita la sivyo wakazi wataandaa maandamano kushinikiza kampuni hiyo kufanya hivyo.

Akiongea katika eneo la Kamneru, Chifu wa kata ya Kamneru Naibei Sile, amesema KPLC imekosa kurekebisha transfoma hiyo licha ya kilio chao cha mara kwa mara.

Chifu huyo amesema ukosefu wa stima umesababisha ongezeko katika visa vya ukosefu wa usalama.

Ni usemi ambao umerejelewa ba Mwenyekiti wa Bodi ya usimamizi wa shule ya upili ya Bishop Okiring’ Leonard Juma, akisema ukosefu wa stima umelemaza shughuli muhimu katika shule hiyo na taasisi zingine za elimu.

Story by Hillary Karungani

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE