Kufwatia kuhamishwa kwa afisa alokuwa akisimamia kituo kidogo Cha polisi Cha Makunga wilayani Navakholo vyongozi mablimbali eneo hilo wamejitokeza kupinga uhamisho huo
Wakiongozwa na mwanaharakati wa kisiasa Wadi ya Makunga Isongo Malaha kaunti ya Kakamega Joab Sakwa Chakongo vyongozi hao wanasema kuwa hili ni tishio kwa usalama haswa sokoni Makunga
Chakongo meitaka idara ya usalama kutathmin upya swala hilo na hata kuwapa afisa mwenye tajriba sawia
Mwanasiasa huyo hata hivyo ametaja swala la ukosefu wa kazi kuwa chanzo Cha ongezeko la visa vya utovu wa usalama akiwataka vyongozi kuweka mikakati itakayochangia ajira kwa vijana kwenye Wadi hiyo
By James Nadwa