Huku visa vya utovu wa nidhamu miongoni mwa wanafunzi, viongozi mbali mbali wamejitokeza na kuwahimiza wazazi kuwa mstari wa mbele katika kuwapa wanao mwelekeo maishani.

Akiwahutubia waombolezaji katika kijiji cha Budira Wadi ya Busali, Jackline Mwenesi, ambaye ni mwakilishi mteule katika bunge la Kaunti ya Vihiga, amewahimiza wazazi kuwaelekeza wanao vyema hasa katika njia ya kiukiristo ili kukabili Visa vya utovu wa nidhamu shuleni.

Aidha, kiongozi huyo amewarai viongozi wenzake kuwahudumia wananchi waliowateua na kukoma siasa za mwaka wa 2022 kwani zinaadhiri utendakazi wao.

Story by Alovi Joseph

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE