Afisa wa kilimo anayesimamia kaunti ndogo ya Lurambi kaunti ya Kakamega amewataka wakulima ambao wanapokea usaidizi wa serikali kupitia kwa vikundi na kuendeleza umoja na kubuni mashirika ya akiba na mikopo kuweza kujiendeleza

Akiongea eneo la Shikoti wadi ya Butsotso Mashariki kwenye mkutano na makundi ambao yamefadhiliwa na serikali Muhenge amesema wanaendeleza mafunzo kuona kwamba wakulima wanaendeleza kilimo biashara cha kisasa

Muhenge pia amewahimiza wakulima kuungana na kuhakikisha ufadhili huo unawainua kiuchumi akiwataka pia kutumia maafisa wa kilimo nyanjani 

By Linda Adhiambo

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE