Wananchi kaunti ya Transnzoia wameonywa dhidhi ya kukata miti ovyo ovyo ili kuzuia uharibifu wa mazingira pamoja na ukame.


Akizungumza katika kaunti ya Transnzoia mshirikishi wa utawala eneo la kaskazini mwa Bonde la Ufa George Natembea amesema asilimia kubwa ya wakaazi eneo la bonde la ufa wameharibu misitu,akiwarahi wenyeji kukumbatia upanzi wa miti ili kukuza mazingira .

Kwa upande wake waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa amewarahi wenyeji kaunti ya Transnzoia kukumbatia upanzi wa miti ili kukabili mabadiliko ya hali ya anga eneo hilo.

By Imelda Lihavi

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE