Zaidi ya wasimamizi wa vijiji 84 wapokea sare rasmi za kazi kutoka kwa mwakilishi wadi wa West Nalondo Erick Wapang’ana kama njia mojawapo yakuwapa motisha wasimamizi hao 

Akizungumza hi leo katika shule ya anuai ya Sirare mwakilishi wadi Erick Wapang’ana alihoji kuwa wasimamizi wa vijiji hao wameweza kupata sare hizo ili iwe raisi kutambulika na wakazii wanopata huduma kutoka kwao

Peter maruti ambaye ni mkuu wa  kijiji cha kisiwa akisema kwamba tangia waweze kuanza kaji ya usimamizi wa vijiji hawajawai pokea au kukua na sare rasmi ya kazi na kudokeza kwamba sare hizo zitaweza kuwafaidi muno

Mwalimu mkuu wa shule ya anuai ya Sirare Arnet Nabutola ambapo sare hizo ziliweza kushonewa akisema hatua hiyo imeweza kupiga jeki chuo hicho kasa katika setka ya kushona nguo

By Javan Sajida

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE