Wazazi wametakiwa kuwalinda wanao wakati huu wa likizo ili kuzuia visa vya mimba za mapema na tabia potovu miongoni mwao.

Haya ni kwa mjibu wa naibu kamishona wa Navakholo Bunyala Magharibi bi. Moureen Kagwara ambaye amesema kustikika na idadi kubwa ya mimba za mapema miongonimwa wanafunzi wa kike eneo hilo na ametaja umiliki wa mila na desturi miongoni mwa wenyeji kuwa chanzo kuu.

Bi Kagwara aidha ametoa onyo kali kwa familia na wazazi wanao shirikiana na wahalifu wanao dhulumu wanao kimapenzi kwa kufunikia utovu huo ya kwamba chuma chao kimo motoni.

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE