Wazazi wamehimizwa kupeleka wanao shuleni zitakapofunguliwa wiki ijao huku wakitakiwa kuhakikisha wanao wamelindwa kutokana na gonjwa la covid 19.

Akizungumza katika eneo bunge la Butere kaunti ya Kakamega, askofu wa kanisa la Church of God misheni ya Butere askofu Jackson Saya amewarai wazazi kuhakikisha wamepeleka wanao shuleni wiki ijayo ili wapate elimu itakayo wasaidia siku za  usoni

Askofu Saya aidha amewataka wazazi hao kuhakikisha wanao wanajikinga dhidi ya ugojwa wa corona kwa kuajibikia mahitaji yao kama vile kuwanunulia barakoa

By Richard Milimu

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE