Wafanyabiashara wa bodaboda na wananchi kutoka Kabras Kusini wanateta kuwa wanapata ajali mingi na hasara kwenye barabara kuu ya kutoka Lubao kuelekea Ingavira.

Wakaaji hao wanaziomba serikali zote mbili, serikali ku na serikali ya kaunti kuingilia kati na kuwatengenezea daraja kwenye mto Sasala. Watu zaidi ya kumi wameumia mahali pale vibaya sana na mamia wengine kupata majeraha madogomadogo.

Wasiwasi iliyoko ni kwamba msimu wa mvua imeanza kwa ivyo huenda tukapoteza maisha mahali hapo

By Caleb Maleche

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE