Wazito fc imethibitisha kwamba Joe Waithira ameondoka kwenye kilabu hicho cha mpira. Waithira alijiunga na wazito mwaka wa elfu mbili kumi na sita. Alikuwa muhimu kwa kufanikiwa kwao mwaka elfu mbili kumi na saba kuwa baadhi ya vilabu vya juu nchini kwenye national super league campaign.
Joe aliondoka kwa muda mfupi na kilabu hicho kilipokuwa kimenyamaa kwa msimu mmoja wa mpira waithira alikuwa muhimu kuimakinisha mwaka elfu mbili kumi na nane. Hivyo basi hamna dhiki, mkubwa wa Wazito FC Dennis Gicheru anaposema mazuri tu kumhusu na kudhibitisha ya kwamba aliondoka kwa makubaliano baina yoa na anmtakia kila la heri.
Huku wazito fc ikimaga waithira wazito imewaacha baadhi ya wachezaji wao kuenda kuchezea timu zingine nao ni Edwin Omondi, Castro Ogendo na Steve Odhiambo. Omondi na Ogendo watachezea timu iliyowaleza yani Western Stima naye Castro atachezea timu ya Kisumu Stars.
Story by Laura Mmosi