Wahudumu wa bodaboda kaunti ya Bungoma wamefanya maandamano Kulalamikia usalama wao Baada ya mauwaji ya kiholela kushudiwa mara kwa mara mauji ya hivi punde kijana mmoja kuuliwa na kutupwa sehemu ya Sikata eneo bunge la Kanduyi Kisha wezi hao wakatoroka na pikipiki.
Ni visa ambavyo vimechangia wahudumu wa bodaboda kufanya maandamano Kulalamikia usalama wao wakiwa Katika shughuli za kikazi
Kampuni ya kupeana mikopo ya pikipiki vilevile wamelaumiwa pakubwa na wateja wao.
Aidha kamishna wa kaunti ya Bungoma Samuel Kimithi ameagiza kitengo Cha ujazuzi kuchunguza shirika la watu credit kuhusu MADAI ibuka.
By Imelda Lihavi