Kituo hiki kimezidi kupongezwa kwa kuibuka kama kituo nambari moja nchini kwa vipindi vya watoto kwenye mashindano yaliyokamilika ya kuza awards mwaka 2021

Wa hivi punde kutoa pongezi yake ni mwaniaji wa kiti cha ubunge kwenye eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega Samuel Wekesa Wekulo  ambaye amepongeza bodi ya wasimamizi wa kituo hiki,wanahabari na pia mashabiki wote kwa ushindi huo muhimu kwenye mashindano hayo

Wakati uo huo Wekesa amewataka viongozi nchini kuheshimu uamuzi wa koti siku zote bila kujali ni kesi na uamuzi upi umetolewa na majaji

Kauli yake ikiwalenga viongozi ambao hawajakubaliana na uamuzi wa majaji 5 kwenye mahakama ya juu wa kusitisha mpango wa kubadilisha katika kupitia mfumo wa BBI

Wekulo amewataka kukata rufaa iwapo hawajaridhishwa na uamuzi huo na kuwataka viongozi kuwa wenye unyenyekevu 

By Javan Sajida

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE