Mwakilishi maalum katika bunge la kaunti ya Kakamega Lucy Chogo amewataka viongozi wa akina mama kushirikiana kuwasaidia wasichana kukabili changamoto ya ukosefu wa visodo ambayo inachangia mimba za mapema

Akiongea katika shule ya upili ya Shiveye wadi ya Idakho Mashariki eneo Bunge la Ikolomani alipowahamasisha wasichana kuhusu siku ya hedhi, bi Chogo amewataka viongozi wa akina mama kutumia raslimali wanazozipata kuwafaa wasichana

Aidha amewataka wasichana kutopotoshwa na wazingatie elimu yao kwa manufaa ya maisha yao ya kesho

By Richard Milimu

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE