Taharuki imetanda eneo la ileho eneobunge la shinyalu kaunti ya kakamega baada ya mchungaji Nillah Imbenzi kufukua Nyungu za ushirikina kando ya Mto ligoshe
Kulingana na walioshuhudia kitendo hicho wakaazi hao wamekiri kuona maajabu na kuwasihi wanaojihushisha na vitendo hivyo kubadilika kwa minajili ya kuokoa eneo hilo
Hata hivyo Imbenzi ambaye ni Mchugaji wa kanisa la Canaan Fellowship amewasihi wakenya kujitenga na mambo yasiyo na maana bali wamtumainie Mungu
Story by Samson Nyongesa