Mchungaji wa Kanisa la kimarafiki eneo la Ivakale kaunti ya Kakamega mchungaji Charlse Mateche Alusiola anatoa ushauri kwa vijana kujishughulisha na kazi muhimu na kutowaitisha wazazi pikipiki na kwenda barabarani bila leseni na kutumia muda huo kufanya kazi nyingine muhimu ili kuepuka kupenda senti.

Mchungaji wa kanisa la marafiki  Ivakale mchungaji Charlse Mateche Alusiola akizungumza na idhaa hii anaelezea jinsi vijana wa wakati huu wengi wanavyo penda senti na kutojishughulikisha kwa kazi muhimu na kuwaitisha wazazi pikipki na kuto taka kuenda shuleni wakati wa kurejea shuleni

Kwenye maelezo yake anasikitika jinsi vijana wanavyo taka vitu vya haraka bila kutumia jasho lao wenyewe huku akiwataka vijna kujiusisha na miradi itakayo wafaidi hspo mbeleni.

Anasikitika jishi wanavyo taka vitu vya haraka bila kuwa kutumia jasho lao wenyewe. Anawataka vijana kujiusisha na miradi itakayo wafaadi pale mbeleni

Mchungaji Mateche anawaomba vijana kuwasaidia wazazi nyumbani ili kuepusha visa na hasra zinazowaelekeza wazazi wao kukodisha mashamba zao na kuwasaidia hata kwenye shughuli za kulima.Hata hivyo amewaomba kuwasaidia pia wachungani kanisani.

Anawaelezea jinsi vijana hawawasaidii wazazi nyumbani na pia hawataki kuelekezwa na kupelekea wazazi kukodisha mashamba zao kwa watu wengine kwa maana hawataki kulima

By Imelda Lihavi

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE