Naiburais William Samoei Ruto kwa mara nyingine amepuuliza mbali juhudi zinazofanywa na rais kuwaleta pamoja waliokuwa vyongozi wa NASA
Akizungumza leo hii kwenye hafla moja ya ibaada jijini Nairobi Ruto ameitaja muungano hiyo kama ya kukabili na isiyo na ajenda kwa mkenya wa kawaida
Haya yanajiri siku chache tu baada ya mkutano ulofanyika ikulu ya Mombasa ambao tetesi zinasema kuwa vyongozi hao waliokosa kuafikiana kuhusu kumuunga mkono raila odinga
Kwa upande wao washirika wa naiburais wakiongozwa na mbunge wa Lang’ata Nickson Korir na Kimani Ichungwa walimtaka rais kuendeleza ajenda yake ya kuwafaa wananchi wa tabaka la chini
By James Nadwa