Lubao FM | 102.2 Hz

Month: August 2020

Mwili wa mwanamke wapatikana mtoni Shinyalu, Kakamega

Hali ya majonzi imetanda katika kijiji cha Ishisembe Kata ya Muranda eneo la Shinyalu Kaunti ya Kakamega baada ya mwili wa mwanamke mmoja wa miaka 53 kupatikana umetupwa kwenye mto Ishaviranga baada ya kudaiwa kunajisiwa. Wenyeji wakiongozwa na Ben Luvayi wanasema mwili wa mwendazake ulipatikana na watoto Waliokuwa wakichunga mifugo eneo hilo baada ya kuona …

Mwili wa mwanamke wapatikana mtoni Shinyalu, Kakamega Read More »

Vurugu zazuka Mumias kufwatia kukamatwa kwa Malala

Taswira kamili ya mij wa Mumias baada ya Vijana wenye ghadhabu kuwasha Moto Kwa kutumia tairi za gari na kuziba barabara zote zinazoingia mjini humo wakilalamikia kukamatwa Kwa seneta Cleophas Malala ambaye alikamatwa Jumatatu na kuzuiliwa kwenye kituo cha polisi cha Mumias. Hata hivyo maafisa wa polisi walitumia vitoa machosi na kutawanya waandamanaji hao. Rais …

Vurugu zazuka Mumias kufwatia kukamatwa kwa Malala Read More »

Mahakama Kakamega yafungwa kwa madai ya Korona

Mahakama ya Kakamega imefungwa kirasmi jumatatu tarehe17/8/20 Hadi tarehe 31 mwezi huu wa Agosti baada ya wafanyikazi watano akiwemo Afisa mmoja wa ulinzi kupatikana na dalili za virusi vya corona. Hata hivyo baadhi ya mawakili katika mahakama hiyo chini ya wakili Ken Echesa sasa wanataka wateja wao kuwa na subira Hadi vikao vya mahakama hiyo …

Mahakama Kakamega yafungwa kwa madai ya Korona Read More »

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE