Hatimaye imekua ni afueni kwa Waandishi wa habari kutoka kaunti ya Uasin Gishu baada ya kuzindua afisi Yao mjini Eldoret.

Afisi hiyo imezinduliwa na Waziri wa mawasiliano na utangazaji inchini Esther Koimet huku akiwaeleza kuwa

Wizara yake itahakikisha waandishi wa habari wamepata mazingira Bora wanapoendeleza kazi zao.

Hata hivyo upande wa wanawake umekumbwa na changamoto si haba hasa tangia janga la korona liibuke kwani baadhi ya afisi zilifungwa na baadhi yao kupoteza ajira. 

Kulingana na mwenyekiti wa muungano wa waandishi wa habari katika kaunti ya Uasin Gishui(UJA) james Gitaka amesema kuwa wamewapokea wanahabari wapia ambao pia wameweza kunufaika na kujiunga na kikundi hicho.

By Sharon Lukorito

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE