Baadhi wafwasi wa ANC pamoja na wachuuzi sokoni Makunga wilayani Navakholo sasa wanasisitiza kuwa  Chama cha ODM kimepoteza umaarufu haswa eneo la Magharibi mwa nchi

Kwenye mahojiano ya kipekee na kituo hiki wanachama hao wanahusisha kuondolewa kwa seneta Malala kwenye kiti cha naibu wa walio wachache kwenye bunge la seneti kama pigo kwa chama hicho eneo hilo

Wanachama hao wameutaka uongozi wa ODM kutochukulia siasa za Matungu kama njia ya kumwadhibu seneta Malala

Wakaazi hao wahoji kuwa vyama vya kisiasa haswa ODM vina mazoea ya kuwadhalilisha vijana

By James Nadwa

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE