Hatua ya rais Uhuru kenyatta kupokea chanjo hadharani juma hili ni kielelezo bora kwa wanainchi waliokuwa wakitilia shaka kuhusiana na chanjo ya Astra zeneca na huenda ikapelekea wanainchi wengi kujitokeza kupokea chanjo hiyo

Ni maoni yake daktari Oscar shamalla mojawapo ya waniaji wa kiti cha ubunge Shinyalu kaunti ya Kakamega

Shamalla ameyasema hayo pembeni mwa ibaada ya mazishi ya Mama Neddy Shiambetsa katika kijiji cha Mikhango,Murhanda,eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega

Daktari Shamalla ametumia nafasi hiyo kusihi wakaazi wa eneo bunge la Shinyalu kwenye azma ya kuongoza eneo bunge hilo kwenye uchaguzi mkuu ujao

By  Javan Sajida

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE