Shughuli za uchukuzi pamoja na biashara katika soko la Matunda zilitatizika kwa muda wa masaa tisa hii ni baada ya wakaazi wenye gadhabu kuwasha magurudumu barabarani huku wakiandamana na kuharibu mali yenye  dhamana  

Wenyeji hao wamewasuta polisi kwa kutumia Nguvu kupita kiasi pamoja na mmoja wao kumlawiti kimapenzi kijana mmoja eneo hilo huku wakitaka haki itendeke kwa familia hiyo 

Hata hivyo polisi walijaribu kila wawezavyo kuwadhibiti wakaazi mara kadhaa bila kufua dafu lakini mwishowe kufaulu baada ya Vuta ni kuvute ya mda mrefu 

Story by Samson Nyongesa

sadmin

By sadmin

Related Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE