Mmoja aaga katika ajali Malava
Mhudumu mmoja wa bodaboda amefariki papo hapo huku abiria wake wawili wakisazwa na majeraha mabaya kwenye barabara ya Kakamega-Webuye karibu na kituo cha mafuta cha Holiday mjini Malava. Kulingana na waliyoshuhudia ajali hiyo,ni kuwa mwendazake alikuwa akiendesha pikipiki kwa mwendo wa kasi ambapo aligonga kwa nyuma trekta ya kubeba miwa ya kampuni ya butali na …