Halaiki ya vijana kutoka eneobunge la likuyani hii leo wamejitokeza kwa minajili ya kuchaguliwa kuwa watumizi ya serikali kwa kitengo cha jeshi
Shughuli hiyo ambayo inaongoswa na maafisa wa kijeshi katika shule ya msingi ya Kongoni iliyoko eneobunge la likuyani baadhi ya vijana wamechujwa kwa makosa madogo madogo huku wakijitahidi kujaribu bahati mwaka ujao huku wenzao wakiendelea na mazoezi
Hayo yakijiri shughuli ya leo ni ya kujua mbivu na mbichi watakao jiunga na huduma hiyo muhimu ya kulinda usalama wa nnchi.
Story by Samson Nyongesa