Lubao FM | 102.2 Hz

Month: September 2021

Woman in Lugari Hangs Self over Alleged Perennial Disagreement with Son

The body of 56 year old woman from Lunyito Village in Lugari Location is lying dead at the Webuye Sub County Hospital Morgue after she hanged herself following family woes. Mrs. Elimina is alleged to have hanged herself on the house belonging to her son, Makombola, 26 who as witnesses narrate, was the cause of …

Woman in Lugari Hangs Self over Alleged Perennial Disagreement with Son Read More »

President Uhuru Urged to Honour His Pledge of a Bus

President Uhuru Kenyatta has been reminded of the promise he made to Kakamega Little Lilies Primary School in 2019 after emerging victorious in the national music competition that year at Nakuru state lodge. Through a song that was performed by the students during the end of term one closing ceremony the pupils urged the head …

President Uhuru Urged to Honour His Pledge of a Bus Read More »

Oparanya: We shall Rectify Contentious Issues in the Finance Bill Together.

Businessmen in Kakamega County will have a sigh of relief as the county intends to deliberate on the contentious issues in the 2021/2022 financial bill which the executive proposed before implementation so as to have a unified and a not so tough way of collecting revenue in the county. Oparanya said this during the trade …

Oparanya: We shall Rectify Contentious Issues in the Finance Bill Together. Read More »

Wafanyibiashara Rejareja walalamikia hali ngumu ya maisha katika Soko la Lubao Kaunti ya Kakamega

Wafanyi biashara reja reja Katika soko la Lubao Kaunti ya Kakamega wanalalamikia hali ngumu ya maisha kwa kukosa wateja wa kununua bidhaa zao  Katika mahojiano ya moja kwa moja na kituo hiki Benson Anadokeza kuwa tangia Asubui hakuna mteja yoyote ambaye amemjia kwa minajili ya kununua bidhaa anayouza  Vile vile ametao wito kwa serkali Kuingilia …

Wafanyibiashara Rejareja walalamikia hali ngumu ya maisha katika Soko la Lubao Kaunti ya Kakamega Read More »

Takribani miaka minne hadi uchaguzi mkuu wa Tanzania wa 2025 Kufanyika

Kuna takribani miaka minne hadi uchaguzi mkuu wa Tanzania wa 2025. Ni muda mrefu kwa hakika. Wakati vyama vya upinzani havijawaza hata kuwasaka wagombea wao wa urais, chama cha mapinduzi (CCM) kinaonekana tayari kimekwishakumfahamu nani ataipeperusha bendera yao katika mwaka huo. Hali hii inakuja baada ya kile kinachoweza kuitwa taarifa ya uzushi iliyoandikwa na gazeti …

Takribani miaka minne hadi uchaguzi mkuu wa Tanzania wa 2025 Kufanyika Read More »

Liverpool imejitokeza kumsaka mshambuliaji wa Poland

Liverpool imejitokeza kama mojawapo ya klabu ambazo zinamsaka mshambuliaji wa Poland na Bayern Munich Robert Lewandowski wa miaka 33, ambaye anatarajiwa kuondoka katika Bayern Munich msimu ujao Hayo  yakijiri Manchester United wamekuwa na mazungumzo mazuri na kiungo wa kati wa Ureno Bruno Fernandes tangu mwezi julai. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 anataka kusalia …

Liverpool imejitokeza kumsaka mshambuliaji wa Poland Read More »

Maaskofu wa kanisa katoliki Nnchini Marekani kushughulikia swala la utoaji Mimba

Papa Fransisco amewataka wa maaskofu wa kanisa katoliki nchini Marekani kushughulikia msimamo wa rais wa Marekani  Joe Biden wa kuunga mkono swala la utoaji mimba kwa njia ya kisiasa badala ya njia ya kitume. Papa Francis aliyasema hayo alipokua akijibu mjadala wa Maaskofu wa Marekani kuhusu iwapo rais Biden, ambaye ni mkatoliki anapashwa kukataliwa kukomonika …

Maaskofu wa kanisa katoliki Nnchini Marekani kushughulikia swala la utoaji Mimba Read More »

Chama cha Maaskofi wa kanisa katoliki nchini kinatilia mkazo wanasiasa kutoendesha siasa zao katika kanisa Katoliki

Chama cha maaskofu kimetilia mkazo usemi wa wanasiasa kutoendesha siasa zao katika kanisa  katoliki na wanatoa wito kwa maafisa wa usalama kuwakamata na kuwafungulia mashtaka viongozi wanao kiuka kanuni za kudhibiti msambao wa covid 19 Chama cha maaskofu wa kanisa katoliku nchini Kenya wakizungumza na wanahabari siku ya Jumatano asubuhi kimehusisha mashambulizi yanayo fanyika kaunti …

Chama cha Maaskofi wa kanisa katoliki nchini kinatilia mkazo wanasiasa kutoendesha siasa zao katika kanisa Katoliki Read More »

Nambale:Three Arrested in Connection with a Series of Robberies

Detectives have today arrested three men in Nambale Busia, county after residents complained of increased number of robbery with violence, according to detectives the three men were arrested in their hideout in Bungoma, however one of them who had been arrested led sleuth’s in there hideout where they had hidden goods they had stolen from locals of Nambale, …

Nambale:Three Arrested in Connection with a Series of Robberies Read More »

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE