Huku wanafunzi wakiendelea kuripoti shuleni baada ya kusalia nyumbani kwa muda mrefu kufwatia kuzuka maambukizi ya virusi vya corona, swala la uhaba wa miundo msingi shuleni limetajwa kama changamoto kuu na lapaswa kushughulikiwa upesi. Akizungumza…
Read MoreWito umetolewa kwa serikali ya kaunti ya bungoma kuingilia kati na kuwatafutia soko wakulima wa kahawa kama njia mojwepo itakayowawezesha kupokea malipo bora yatakayofanikisha miradi yao mbalimbali. Mwenyekiti wa chama cha ushirika cha kapkrong wadi…
Read MoreFamilia moja kutoka mtaa wa mlimani eneo bunge la likuyani kaunti ya kakamega imejitokeza wazi na kuomba msaada wa kugharamia matibabu ya mwanao ambaye kwa hivi sasa bado amelazwa katika hospitali ya cherengany nursing home…
Read MoreWatoto wa kurandaranda mitaani mjini kakamega sasa wanataka mashirika yasiyo ya kiserikali ambayo yamekuwa yakituma maombi ya misaada katika mataifa ya ughaibuni kwa niaba yao, kuchunguzwa kwa madai ya ufisadi na kuchukuliwa hatua kali za…
Read MoreWatu 335 zaidi waambukizwa ugonjwa wa COVID-19 na kufikisha idadi ya walio ambukizwa kuwa jumla ya 97,733. visa hivyo vipya vimetokana na sampuli 5,424 zilizopimwa chini ya saa ishirirni na nne Kulingana na taarifa ya…
Read MoreHilltop Sherry Academy Becomes The First Private School To Waive The Fee Balances For Learners According To The School Director Geoffrey Agesa Has Stated The Challenges Parents Have Undergone Since The Covid 19 Cases Were…
Read MoreMwendeshaji mmoja wa bodaboda kaunti ya meru anatafutwa na idara ya upelelezi wa jinai DCI kwa minajili ya kumbaka mschana wa umri ya miaka minane jana. Idara hiyo ya upelelezi inasema kuwa katika bunge la…
Read MoreShule zimerekodi idadi kubwa ya wanafunzi leo hii ikiwa ni siku ya kwanza kwa wanafunzi kurudi shuleni tangu mwezi mechi mwaka jana baada ya amri ya rais uhuru kenyatta kuwa shule zote nchini kufungwa kutokana…
Read MoreSerikali ya kitaifa imetakiwa kuweka mikakati kabambe kwenye yaasisi zote za elimu nchini kama njia moja wapo ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona. Akizungumza baada ya kukabidhi mahema kwa vikundi vya akina mama katika…
Read MoreKiongozi Wa Muungano Wa Walimu Wa Shule Za Upili KESSHA Kaunti Ya Kakamega Ambaye Pia Ni Mwalimu Mkuu Wa Shule Ya Upili Ya Bukhaywa Michael Amukoha Amepongeza Hatua Ya Serikali Kufungua Shule Muhula Wa Pili…
Read More