Lubao FM | 102.2 Hz

  • http://41.90.240.222:88/broadwave.mp3?src=1&rate=1&ref=
  • Streaming Live

Lubao Digital

Four Dead Several Injured In A Grisly Road Accident

Four people died and several others injured in an accident that occurred at the Nzoia Bridge along the Eldoret Bungoma Highway. The Saturday morning incident involved four vehicles including a truck, private car, a double cabin pick up and a lorry ferrying ballast which ran into each other and the occupant of the vehicles were …

Four Dead Several Injured In A Grisly Road Accident Read More »

Ukosefu wa maji sokoni Makunga kaunti ya Kakamega

Wafanyibiashara sokoni Makunga eneobunge la Mumias Mashariki wanalalamikia ukosefu wa maji sokoni humo Wafanyibiashara hao sasa wanahofia mkurupuko wa Magonjwa kutokana na tatizo hilo Vilevile amesikitikia mazingira duni wanamoendeshea biashara zao huku taka zikijaa kote sokoni Wafanyibiashara hao aidha hutatizika haswa masaa ya jioni baada ya taa ilowekwa pale na serikali ya kaunti ya Kakamega …

Ukosefu wa maji sokoni Makunga kaunti ya Kakamega Read More »

Vijana waonywa dhidi ya kutumia dawa za kulevya

Serikali ya kaunti imeombwa kusaidia  chama cha Matioli Welfare Group katika kujiendeleza na kufanikisha miradi yao. Akizungumza katika mkutano uliowajumulisha wanachama wote wa Matioli Welfare Group katika wadi ya Chegulo kata ya Matioli kaunti ndogo ya Malava kaunti ya Kakamega,mwenye kiti wa chama hiki Daniel Mulambula ameelezea baadhi ya miradi ambayo wameanzisha naimekuwa ya kufana  …

Vijana waonywa dhidi ya kutumia dawa za kulevya Read More »

Mashirika ya kijamii kukashifu hatua ya Bunge kukosa kuidhinisha sheria ya kudhibiti fedha za kampeni

Hatua ya bunge kukosa kuidhinisha sheria ya kudhibiti fedha zitakazotumika kwenye kampeni ni njia mojawapo ya kupalilia uovu huo Kwenye taarifa ya pamoja mashirika mbalimbali ya kijamii yakiwemo Elog, Mzalendo na Center for Multiparty Democracy yamekashifu hulka hiyo ya wabunge yakiitaja kama inayoruhusu wizi wa pesa mkenya mlipaushuru Mashirika hayo yamesema kuwa wabunge hawana nia …

Mashirika ya kijamii kukashifu hatua ya Bunge kukosa kuidhinisha sheria ya kudhibiti fedha za kampeni Read More »

Kampeni dhidi ya ya mimba za mapema kuendelezwa katika mji wa Kakamega

Kampeni dhidi ya mimba za mapema miongoni mwa watoto wa kike ziliendelezwa kwenye mitaa ya mji wa kakamega kaunti ya kakamega huku onyo kali ikitolewa kwa wahusika  Maafisa wa polisi wanasheria pamoja na wadahu kutoka mashirika mbalimbali ya kijamii wamehimiza wazazi kumakinika na malezi ya watoto wao kama njia mojawapo ya kukabili visa hivyo Aidha …

Kampeni dhidi ya ya mimba za mapema kuendelezwa katika mji wa Kakamega Read More »

Serikali kuezeka pakubwa katika secta ya Michezo

Mbunge katika bunge la kaunti ya Vihiga Beatrice Adagala ameitaka serikali kuekeza pakubwa kwenye michezo kama njia mojawapo ya kukuza vipaji miongoni mwa vijana Adagala amesema kuwa hili litawawezesha vijana kujihusisha na spoti hivyo kutumia vema muda wao Mwakilishi huyo wa kina mama kaunti ya Vihiga amesikitikia makaribisho hafifu yalofanyiwa wanaspoti walowakilisha kwenye michezo ya …

Serikali kuezeka pakubwa katika secta ya Michezo Read More »