Lubao FM | 102.2 Hz

Month: July 2020

Msichana wa Chuo kikuu kuavya mimba na kutupa kijusi kichakani Kakamega.

Maafisa wa polisi mjini Kakamega wanachunguza kisa ambacho mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha masinde muliro anadaiwa kuavya mimba kabla yakutupa kijusi kwenye kichaka katika Mtaa wa kefinco wadi ya shieywe viungani mwa mji wa Kakamega. Kulingana na walioshuhudia kisa hicho wanadai kuwa msichana huyo aliavya mimba hiyo ya miezi Saba …

Msichana wa Chuo kikuu kuavya mimba na kutupa kijusi kichakani Kakamega. Read More »

Wafanyikazi zaidi ya 500 huenda wakasimamishwa kazi katika kiwanda cha kusaga sukari cha Busia.

kiwanda cha kusaga sukari cha Busia kilichoko wadi ya Busibwabo eneo bunge la Matayos kaunti ya Busia kutangaza kuwa huenda kikawasimamisha kazi zaidi ya wafanyakazi wake 500 kutokana na kiwanda hicho kukosa malighafi au miwa ya kutosha ya kusaga sukari, imekemewa vikali na baadhi ya wakulima wa miwa katika kaunti ya Busia. Wakulima hao wakiongozwa …

Wafanyikazi zaidi ya 500 huenda wakasimamishwa kazi katika kiwanda cha kusaga sukari cha Busia. Read More »

Wauguzi na wahudumu wa afywa wametiwa karantini katika zahanati ya Khamulati, Kimilili.

Jumla ya wauguzi na wahudumu wa afya 22 katika zahanati ya Khamulati eneo bunge la Kimilili wamewekwa karantini ya siku 14 baada yao kutangamana na mgonjwa aliyepatikana na virusi vya Korona na baadaye kufariki dunia kutokana na ugonjwa Covid-19 akitibiwa katika hospitali ya kibinafsi ya Life Care mjini Bungoma. Kwa mujibu wa Mshirikishi wa magonjwa …

Wauguzi na wahudumu wa afywa wametiwa karantini katika zahanati ya Khamulati, Kimilili. Read More »

Michael Joseph ameteuliwa mwenyekiti mpya wa bodi ya Safaricom baada ya Nicholas Ng’ang’a kustaafu baada ya kuhudumu kwa miaka 16

Michael Joseph ndiye ameteuliwa na Safaricom kuwa mwenyekiti mpya wa bodi yake baada ya Nicholas Ng’ang’a kustaafu baada ya kuhudumu kwa miaka 16 kama mwenyekiti wa bodi hiyo. Safaricom inatarajiwa kutowa tangazo hilo rasmi wakati wa mkutano wao wa kila mwaka hii leo.Jukumu la mwenyekiti wa bodi ni uongozi wa bodi na kusimamia operesheni ili …

Michael Joseph ameteuliwa mwenyekiti mpya wa bodi ya Safaricom baada ya Nicholas Ng’ang’a kustaafu baada ya kuhudumu kwa miaka 16 Read More »

Robbers broke into St. John the Baptist Likuyani Boys High school in Likuyani Sub County, Kakamega County

A gang of robbers broke into St. John the Baptist Likuyani Boys High School in likuyani sub county, Kakamega County and made away with property worth thousands of shillings. Confirming the incident acting Likuyani location Chief Peter Lugano said the heavily armed gang invaded the school on Tuesday and seriously injured Mr. Nahashon Wakobwa using …

Robbers broke into St. John the Baptist Likuyani Boys High school in Likuyani Sub County, Kakamega County Read More »

Wizara ya ulinzi ya israel imetangaza leo kwamba nchi hiyo imefaulu kuzindua satelaiti mpya ya ujasusi,

Wizara ya ulinzi ya israel imetangaza leo kwamba nchi hiyo imefaulu kuzindua satelaiti mpya ya ujasusi, Inayosema itaiwezesha idara ya uchunguzi ya jeshi lake kupata taarifa bora za ujasusi. Israel imekuwa ikiimarisha uwezo wake wa kijasusi ili kuwachunguza maadui zake kama vile iran ambayo inautizama mpango wake wa nyuklia kama kitisho. Satelaiti hiyo kwa jina …

Wizara ya ulinzi ya israel imetangaza leo kwamba nchi hiyo imefaulu kuzindua satelaiti mpya ya ujasusi, Read More »

“Lazima tuzingatie masharti kama viongozi wa madhehebu”, Asema Askofu Anthony Muheria

Mwenyekiti wa baraza la kidini lililotathmini pendekezo la kufungua makanisa askofu Antony Muheria, ameelezea kuwa Maeneo yote ya kuabudu yatafunguliwa kuanzia Jumanne Juma lijalo. Askofu anasemea muda huu utawapa wakuu wa madhehebu mbalimbali muda wa kuzingatia masharti ya kurejelea ibaada, kama alivyoagiza Rais Uhuru Kenyatta.  Askofu Muheria amewapa changamoto viongozi wote wa dini kuzingatia kikaimilifu …

“Lazima tuzingatie masharti kama viongozi wa madhehebu”, Asema Askofu Anthony Muheria Read More »

Visa 183 vipya vya Korona kutangazwa hii leo na Waziri wa Afya, Dkt. Mutahi Kagwe

Idadi ya virusi vya korona  inaendelea kuongezeka sawia na wale wanaoendelea kupona. Hii leo Visa vya walio ambukizwa virusi vya corona vimekuwa 183 na kufikisha jumla ya watu walio ambukizwa  8,250 chini ya saa ishirini na nne ambapo sampli 2,061zilifanyiwa vipimo  Waziri wa afya Dkt. Mutahi Kagwe hii leo alieleza kuwa kutoka kwa visa hivyo …

Visa 183 vipya vya Korona kutangazwa hii leo na Waziri wa Afya, Dkt. Mutahi Kagwe Read More »

MoE Press

Waziri wa elimu profesa George Magoha Amedhibitisha kuwa wanafunzi wa shule za msingi na za upili watalazimika kurejelea masomo mwaka ujao

Waziri wa elimu profesa George Magoha Amedhibitisha kuwa wanafunzi wa shule za msingi na za upili  watalazimika kurejelea masomo mwaka ujao. Aidha ni watahiniwa wa darasa la nane na wa kidato cha nne tu watakaorejea darasani Septemba mwaka huu japo hawatafanya mitihani ya KCPE na kcse mwaka huu. Akitangaza kalenda mpya ya shule hii leo …

Waziri wa elimu profesa George Magoha Amedhibitisha kuwa wanafunzi wa shule za msingi na za upili watalazimika kurejelea masomo mwaka ujao Read More »

Afueni kwa waumini baada ya Rais kufungulia makanisa

by Imelda Lihavi Ni afueni kwa wakenya baada ya  Rais Kenyatta kutangaza kufunguliwa kwa awamu kwa maeneo ya kuabudu. Ibada zitafanyika kwa muda usiopungua lisali moja. Hata hivyo watoto walio chini ya miaka kumi na mitatu na watu wenye umri wa miaka 58, wale walio na matatizo mbalimbali ya kiafya hawataruhusiwa kuhudhuria ibada. Vilevile shule …

Afueni kwa waumini baada ya Rais kufungulia makanisa Read More »

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE