Ajali mbaya eneo la Malava
Mwanaume mwenye umri wa makamo kwa majina Shikuku Cheto amefariki kutokana na ajali ya barabara iliotokea katika barabara ya Malava kuelekea Webuye baada ya trekta waliyokuwa nayo kukatika breki na kumkanyaga katikati mwa tumbo lake na kupoteza uhai kabla hajafikishwa hosipitalini Akizungumza na idhaa hii nduguye marehemu julius fulani amehoji kuwa lori lilifeli lilipokuwa likipanda …