Lubao FM | 102.2 Hz

Month: May 2021

Wakaazi kaunti ya Bungoma wanahimizwa kujiunga na chama cha U.D.A

Wakaazi wa eneobunge la Mlima Elgon na kaunti ya Bungoma kwa jumla wamehimizwa kujiunga kwenye chama cha United Democratic Aliance (U.D.A) ambacho kimetajwa kuwa cha kuunganisha wananchi kando na kujali maslahi ya mwananchi wa kawaida. Akihutubu mjini Cheptais baada ya kuzindua usajili wa wananchama wa U.D.A eneobunge la Mlima Elgon mbunge wa eneo hilo Fred …

Wakaazi kaunti ya Bungoma wanahimizwa kujiunga na chama cha U.D.A Read More »

Mwanaume azuiliwa katika kituo cha polisi kwa madai ya kumuua mwanawe eneo bunge la Mlima Elgon

Maafisa wa polisi eneo la Chesikaki eneobunge la Mlima Elgon wanamzuilia mwanamume mmoja kutoka kijiji cha  kaptoka  anayedaiwa kumpiga kisha kumuua mwanawe Geofrey Kisiero mwenye umri wa miaka ishirini na nane kwa madai ya kuiba gorogoro tatu ya mbolea na kuiuza. Kulingana na chifu wa kata ya Sasur,  Jackson Komon mwanamume huyo Moses Kisiero ambaye …

Mwanaume azuiliwa katika kituo cha polisi kwa madai ya kumuua mwanawe eneo bunge la Mlima Elgon Read More »

Wakaazi Wa Eneo bunge la Sirisia wahimizwa kuishi kwa Amani

Wakaazi wa eneobunge la Sirisia wamehimizwa kuishi kwa amani na kuweka kando swala la ukabila kama njia pekee itakayosaidia kufanikisha ajenda ya maendeleo eneo hilo. Akihutubu kwenye hafla ya mazishi eneo la Lwandanyi eneobunge la Sirisia mbunge wa eneo hilo John Koyi Waluke amehidi kuunganisha jamii zote zinazoishi eneo  hilo huku akiwataka wananchi kufanya kazi …

Wakaazi Wa Eneo bunge la Sirisia wahimizwa kuishi kwa Amani Read More »

Wakaazi kutilia mkazo sheria za kudhibiti msambao wa virusi vya Corona

Wakaazi wa lokesheni ndogo ya Shisembe kwenye wadi ya Murhanda eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega wametakiwa kwendelea kutilia mkazo sheria za kudhibiti msambao wa virusi vya covid19 Akizungumza katika hafla ya mazishi ya mama Loice Khatenje mamake shabiki sugu wa kituo hiki Joash Abung’ana naibu chifu wa lokesheni hiyo Mike Shivanda amewataka wakaazi …

Wakaazi kutilia mkazo sheria za kudhibiti msambao wa virusi vya Corona Read More »

Wakulima wahimizwa kulipa mikopo yao kwa wakati unaofaa

Wito umetolewa  kwa wakulima kutoka kaunti  ya  Bungoma ambao huchukua mikopo katika shirika la kutoa  mikopo kwa wakulima  halmaarufu (  Agricultural Finance Corporation)  kulipa mikopo yao  kwa wakati ufao. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa  ujenzi wa afisi ya shirika hilo mjini Bungoma,mkurugenzi wa shirika hilo,George Kubai,amesema kuwa kuna haja ya wakulima  kuhakikisha kuwa mikopo …

Wakulima wahimizwa kulipa mikopo yao kwa wakati unaofaa Read More »

Wananchi kujitokeza na kushiriki mikutano ya masomo (civic education)

Wananchi wametakiwa kujitokeza na kushiriki mikutano ya masomo inayohusisha uraia yaani Civic Education ili kuweza kujinufaisha maishani mwao. Akiongea katika kanisa la marafiki la Shirugu  eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega, afisa mtendaji wa shirika la Afrinov mkoa wa Magharibi Benson Khamasi anasema kuwa madhumni ya kuanda mafunzo hayo ni kwa minajili ya kuwaelimisha …

Wananchi kujitokeza na kushiriki mikutano ya masomo (civic education) Read More »

Katibu Mkuu KNUT Sossion Aishtumu Vikali Serikali

Katibu mkuu wa chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini KNUT Wilson Sossion sasa anadai kwamba serikali ina njama ya kudinda kutekeleza mikataba za makubaliano na miungano ya wafanyikazi nchini. Akiongea mjini Kakamega baada ya kuhudhuria mkutano wa wajumbe wa KNUT tawi hilo, Sossion amesema serikali imekuwa ikilemaza shughuli za miungano za wafanyakazi kwa kuhakikisha …

Katibu Mkuu KNUT Sossion Aishtumu Vikali Serikali Read More »

Uhalifu Eneo La Eshisiru Kaunti ya Kakamega

Wakazi kutoka kijiji cha Eshisiru eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega wamelalamikia ongezeko la visa vya uhalifu katika eneo hilo huku wakiwashtumu maafisa wa usalama wanaohudumu katika eneo hilo kwa madai ya utepetevu.  Wakazi hao wamelalamikia kisa ambapo mlinzi mmoja aliuawa usiku wa kuamkia jana na watu wasiojulikana akiwa kazini katika kituo cha kibiashara …

Uhalifu Eneo La Eshisiru Kaunti ya Kakamega Read More »

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE