Utovu wa usalama eneo la Marama Kaskazini kaunti ya Kakamega

Vijana katika eneo la Marama Kaskazini eneo Bunge la Butere kaunti ya Kakamega wamewataka viongozi waliochaguliwa kushirikiana na idara ya usalama kukabili ongezeko la visa vya wizi wa mifugo Wakiongozwa na Edwin Anyanga baada ya kuhudhuria mazishi eneo la Bumamu wamesema wizi wa mifugo umechangia hali ya ufukara huku viongozi waliochaguliwa wakikosa Kuwajibikia hali hiyo. Wizi wa mifugo umezidi katika eneo hili. Na hii wizi imechangia umaskini Kwa...

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE