LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Author Blogs

Author: Charles Oduor

Charles Oduor

Mbunge apatikana msitu wa Burnt Forest kaunti ya Uasin Gishu

Mbunge apatikana msitu wa Burnt Forest kaunti ya Uasin Gishu

Mbunge anayegombea kutoka kaunti ya Kiambu ambaye alikuwa ametekwa Nyara amepatikana katika msitu wa Burnt  Forest kaunti ya Uasin Gishu. Johh Njuguna Wanjiku amekiri kuwa watekaji nyara hao walimchukua kutoka Kiambu tangia saa tano na…

Read More
Kaunti ya kakamega kufanya marekebisho kwa mswada wa imarisha Afya ya Mama na Mtoto

Kaunti ya kakamega kufanya marekebisho kwa mswada wa imarisha Afya ya Mama na Mtoto

Bunge la kaunti ya Kakamega linapania kufanyia marekebisho  mswada wa Imarisha Afya ya Mama na Mtoto uliopitishwa mwaka 2017 na kuanzisha mpango wa kuwasaidia akina mama hao ukiwa pamoja na wahudumu wa kujitolea wa afya…

Read More
Viboko virejeshwe Shuleni

Viboko virejeshwe Shuleni

Pendekezo  la  kurejesha  adhabu  ya  kiboko  shuleni  linaonekana  kuwavutia  baadhi  ya  wazazi  huku  wakisema  kwamba  itasaidia  kumaliza  visa  vya  utovu  wa  nidhamu  kwa  mwanafunzi. Kwa  upande  wake  bwana  Isaac  Taly  mkaazi  wa  Buyangu  katika  wadi …

Read More
Mradi wa Maji kwa wanakijiji na wanafunzi Lurambi

Mradi wa Maji kwa wanakijiji na wanafunzi Lurambi

 Familia 500 na wanafunzi 1500 kutoka jamii ya Lurambi wadi ya Butsotso Mashariki eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega wamenufaika na mradi wa maji kutoka kwa kampuni Moja ya Mchezo wa Bahati Nasibu kwa…

Read More
Vuta ni kuvute baina ya viongozi wa muungano wa wauguzi Kakamega kwa kusitisha mgomo wao 03/02/2021

Vuta ni kuvute baina ya viongozi wa muungano wa wauguzi Kakamega kwa kusitisha mgomo wao 03/02/2021

Ubabe wa uongozi wa muungano wa wauguzi kaunti ya Kakamega umeshuhudiwa huku mwenyekiti wa muungano huo tawi la Kakamega Eliud Molenje akifutilia mbali mgomo wa wauguzi hao naye katibu mtendaji wa muungano huo katika kaunti…

Read More
Shule Malava zalalamikia kutelekezwa na serikali kwenye mgao wa kufadhili  Elimu

Shule Malava zalalamikia kutelekezwa na serikali kwenye mgao wa kufadhili Elimu

Usimamizi wa shule ya msingi ya Nwikhupo katika eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega umelalamikia kutengwa kwa shule hiyo kwa kile wanachosema haijapokea fedha za serikali kupitia kwa wizara ya elimu za kufadhili elimu…

Read More
Mbolea mpya kuzinduliwa eneo la Magharibi ya kampuni ya Yara

Mbolea mpya kuzinduliwa eneo la Magharibi ya kampuni ya Yara

Wakulima wa mahindi kutoka eneo la Magharibi ya nchi wamepata afueni baada ya  kampuni ya utengenezaji mbolea ya Yara kuzindua mbolea aina ya Microp inayolenga kuongeza mazao pamoja na kutunza rotuba ya mchanga. Akizungumza wakati…

Read More
Bwenyeye kunyakua Shamba Shinyalu Kakamega

Bwenyeye kunyakua Shamba Shinyalu Kakamega

Familia moja kutoka kijiji cha Lwanza  eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega inalilia haki yao baada ya wao kugandamizwa na Bwenyenye mmoja eneo hilo anayesemekana kunyakua sehemu ya shamba wanaloishi bila idhini yeyote Familia…

Read More
Familia moja Busia kulilia haki baada ya Kudhulumiwa na Maafisa wa Polisi

Familia moja Busia kulilia haki baada ya Kudhulumiwa na Maafisa wa Polisi

Familia ya mzee Benard Orenga kutoka Nambale kaunti ya Busia  bado inalilia haki zaidi ya miezi kumi baada ya kudhulumiwa na maafisa wa polisi kutoka kituo cha Nambale. Kwa mujibu wa mzee Orenga, polisi walimvamia…

Read More
Utovu wa nidhamu kwa Wanafunzi

Utovu wa nidhamu kwa Wanafunzi

Ukosefu wa heshima miongoni mwa viongozi wa kisiasa nchini ni kielelezo kinachotoa mfano mbaya kwa vijana hasaa wanafunzi Ni kauli yake katibu mkuu wa chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini KNUT tawi la Bungoma…

Read More