LUBAO FREQUENCY MODULATION LIMITED

Uniting Communities
  1. Listen to Lubao FM Live 102.2 FM

Live now:

Up next:

  1. Home
  2. Author Blogs

Author: Charles Oduor

Charles Oduor

Naibu chifu wa lokesheni ndogo ya Lukume amejitokeza kuwasaidia vijana wanao husika na dawa za kulevya na kucheza kamari

Naibu chifu wa lokesheni ndogo ya Lukume amejitokeza kuwasaidia vijana wanao husika na dawa za kulevya na kucheza kamari

Maulid Wanjala wa eneo la Lukume, lokesheni ya Lukume wadi ya West Kabras, Kakamega Kaskazini ameichukua jukumu kama naibu Chifu mpya wa eneo hilo, kuwahasirisha vijana na kuwaonya juu ya matumizi ya pombe na kucheza…

Read More
Sub chief of Lukume Sub location has taken upon himself ti educate the youth indulging in drugs and betting

Sub chief of Lukume Sub location has taken upon himself ti educate the youth indulging in drugs and betting

Assistant chief, Maulid Wanjala of Lukume sublocation, lukume location west kabras ward, as a newly nominated sub-chief he’s taken  upon himself to educate the youth indulging in drugs and betting  He says they advise the…

Read More
Wazee wa wadi ya Isukha Magharibi eneobunge la Shinyalu kupinga mapendekezo ya baadhi ya wakaazi kumtaka mwakilishi wadi wao kuwania kiti cha ubunge

Wazee wa wadi ya Isukha Magharibi eneobunge la Shinyalu kupinga mapendekezo ya baadhi ya wakaazi kumtaka mwakilishi wadi wao kuwania kiti cha ubunge

Wazee kutoka wadi ya Isukha Magharibi eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega wamejitokeza kupinga pendekezo la baadhi ya wakazi kumtaka mwakilishi wadi wao Edward Shibembe kuwania kiti cha ubunge na badala yake wanamtaka kusalia…

Read More
Wakaazi wa kaunti ya Kakamega katika eneo bunge la Butere wanaitaka serikali ya kaunti kukamilisha miradi iliyo ahidiwa na gavana wa kaunti Hiyo

Wakaazi wa kaunti ya Kakamega katika eneo bunge la Butere wanaitaka serikali ya kaunti kukamilisha miradi iliyo ahidiwa na gavana wa kaunti Hiyo

 Wakazi wa wadi ya Marama Magharibi eneo bunge la Butere kaunti ya Kakamega wameitaka serikali ya kaunti kukamilisha miradi iliyoahidiwa na gavana Wycliffe Oparanya kabla ya kipindi chake cha kuhudumu kukamilika  Wakiongea kijiji cha Lwaminyi…

Read More
Barcelona wanakaribia kufikia mkataba wa kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero

Barcelona wanakaribia kufikia mkataba wa kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero

Barcelona wanakaribia kufikia mkataba wa kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, lakini uhamisho wa bure wa kiungo huyo aliye na umri wa miaka 32- utategemea ikiwa klabu hiyo ya Nou Camp itafanikiwa kumshawishi mshambuliaji…

Read More
Habari za michezo Mashinani

Habari za michezo Mashinani

Timu za Mung’ang’a FC na Eshialhulo FC kutoka wadi za East Wanga na Malaha/Makunga/Isongo ndizo zitakazowakilisha eneobunge la Mumias Mashariki katika mashindano ya Oparanya Cup mwaka huu wa 2021. Timu ya Eshialhulo FC iliweza kufusu…

Read More
Mshukiwa Wa Wizi Wa Ng’ombe Ateketezwa Kwa Moto hadi kufa katika eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega

Mshukiwa Wa Wizi Wa Ng’ombe Ateketezwa Kwa Moto hadi kufa katika eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega

Mwanaume mwenye umri wa miaka 45 kwa majina Andrew Soita Webo kutoka kijiji cha Luichi kata ya Chegulo eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega  ameteketezwa na  wananchi wenye hamaki na kufariki baada ya kupatikana…

Read More
Viongozi watoa Hisia mbalimbali kuhusu masharti mapya kama njia mojawapo ya kukabili msambao wa virusi vya Corona

Viongozi watoa Hisia mbalimbali kuhusu masharti mapya kama njia mojawapo ya kukabili msambao wa virusi vya Corona

Vyongozi mbalimbali wanazidi kutoa hisia zao kuhusu masharti mapya alotangaza rais kama njia mojawapo ya kukabili msambao wa virusi vya Corona Afisa msimamizi wa maswala ya jinsia na watoto kaunti ya Kakamega Peninah Mukabane amewataka…

Read More
Watahiniwa  wa Mtihani wa Kitaifa Malava Wahakikishiwa Usalama Na Idara Ya Elimu

Watahiniwa wa Mtihani wa Kitaifa Malava Wahakikishiwa Usalama Na Idara Ya Elimu

Huku siku chache zikisalia watainiwa wa darasa la nane na kidato cha nne kukalia mtihani wa kitaifa mkurugenzi wa elimu kaunti ndogo ya Malava Isaac Kiprais  amewahakikishia watahiniwa  usalama wakati watakapokuwa wakiendelea na mtihani huo…

Read More
Mwanaume ajitia kitanzi ndani ya nyumba yake katika eneo la Tande kaunti ndogo ya Malava

Mwanaume ajitia kitanzi ndani ya nyumba yake katika eneo la Tande kaunti ndogo ya Malava

Biwi la simanzi limetanda katika kijiji cha Tande eneo bunge la Malava baada ya mwanamme mwenye umri wa miaka 31 kwa jina Emmanuel Nasong’o kupatikana akiwa amejitia kitanzi ndani ya nyumba yake. Kulingana na mmoja…

Read More